Kuhusu
Kubali
Nakili ID ya Akaunti
Kitambulisho cha Akaunti Imenakiliwa
Nakili ID yako ya Akaunti kisha ushiriki na marafiki zako ili waweze kukutumia ujumbe.
Ingiza Account ID
Akaunti ID hii si sahihi. Tafadhali angalia na ujaribu tena.
Ingiza Account ID au ONS
Alika kitambulisho cha Akaunti au ONS
Hey, nimekuwa nikitumia {app_name} kupiga gumzo na kupata faragha kabisa na usalama. Njoo ujiunge nami! Kitambulisho changu cha Akaunti ni\n\n{account_id}\n\nPakua kwenye {session_download_url}
Akaunti ID yako
Huu ni ID yako ya Akaunti. Watumiaji wengine wanaweza kuuchanganua kuanzisha zungumzo na wewe.
Ukubwa Halisi
Ongeza
Wasimamizi hawawezi kuondolewa.
{name} na {count} wengine wamepandishwa cheo kuwa Admin.
Hamisha Wasimamizi
Je, una uhakika unataka kumpandisha {name} kuwa admin? Maimi hawawezi kuondolewa.
Je, una uhakika unataka kumpandisha {name} na {count} wengine kuwa admin? Maimi hawawezi kuondolewa.
Hamisha kuwa Msimamizi
Je, una uhakika unataka kumpandisha {name} na {other_name} kuwa admin? Maimi hawawezi kuondolewa.
{name} amepandishwa cheo kuwa Admin.
Kusimishwa kwa Msimamizi kumeenda kombo
Imeshindikana kupandisha daraja {name} katika {group_name}
Imeshindikana kupandisha daraja {name} na wengine {count} katika {group_name}
Imeshindikana kupandisha daraja {name} na {other_name} katika {group_name}
Kuenezwa kwa Msimamizi kumeenda
Ondoa Wasimamizi
Ondoa kama Msimamizi
Hakuna Wasimamizi kwenye Community hii.
Imeshindikana kumwondoa {name} kama Admin.
Imeshindikana kuwaondoa {name} na {count} wengine kama Admin.
Imeshindikana kuwaondoa {name} na {other_name} kama Admin.
{name} ameondolewa kama Admin.
{name} na {count} wengine wameondolewa kama Admin.
{name} na {other_name} wameondolewa kama Admin.
Mipangilio ya Msimamizi
{name} na {other_name} wamepandishwa cheo kuwa Admin.
+{count}
Anonymous
Njia ya giza ya kiotomatiki
Ficha Mwambaa wa Menyu
Lugha
Chagua mpangilio wa lugha yako kwa {app_name}. {app_name} itaanza tena unapobadilisha mpangilio wa lugha lako.
U hali gani?
Niko salama, wewe je?
Nilivyo, asante.
Rangi ya Msingi
Mandhari
Mandhari Nyeusi ya Kawaida
Mandhari Nyepesi ya Kawaida
Bahari giza
Bahari mwangaza
Kuza
Kuza Ndani
Kuza Nje
Ambatisho
Ongeza Kiambatanisho
Albamu isiyo na jina
Pakua Viambatisho Moja kwa Moja
Pakua moja kwa moja vyombo vya habari na faili kutoka kwenye chat hii.
Ungependa kuhifadhi kiotomatiki faili zote kutoka {conversation_name}?
Pakua Kiotomatiki
Futa Viambatisho Vyote
Una uhakika unataka kufuta viambatanisho vyote? Jumbe zenye viambatanisho pia zitafutwa.
Gusa ili kupakua {file_type}
Fupisha chaguzi za kiambatisho
kukusanya viambatisho...
Pakua Kiambatanisho
Muda:
Kosa kwenye kushirikisha faili
Imeshindikana kuchagua kiambatanisho
Nashindwa kupata app ya kuchagua habari.
Aina hii ya faili haiwezi kusupportiwa.
Haiwezi kutuma zaidi ya faili 32 za picha na video mara moja.
Haiwezi kufungua faili.
Kosa kutuma faili
Tafadhali tuma faili kama meseji tofauti.
Majalada yawe chini ya 10MB
Huwezi kushikiza picha na video na aina zingine za faili. Jaribu kutuma faili nyingine katika ujumbe tofauti.
Kiambatanisho kimekwisha muda
File ID:
Ukubwa wa Jalada:
Aina ya Jalada:
Hauna faili zozote katika mazungumzo haya.
Haiwezi kuondoa metadata kutoka kwa faili.
Kupakia Vyombo Mpya...
Kupakia Faili Mpya...
Kupakia Vyombo vya Zamani...
Kupakia Mafaili ya Zamani...
{name} tarehe {date_time}
Hauna media yoyote katika mazungumzo haya.
Chombo kimehifadhiwa na {name}
Songesha na Pima
N/A
{emoji} Kiambatanisho
{author}: {emoji} Kiambatanisho
Azimio:
Haiwezi kuhifadhi faili.
Tuma kwa {name}
Gusa ili kupakua {file_type}
Mwezi huu
Wiki Hii
Viambatisho unavyohifadhi vinaweza kufikiwa na programu nyingine kwenye kifaa chako.
Sauti
Hakuna maingizo ya sauti
Hakuna matokeo ya sauti
Haiwezi kucheza faili ya sauti.
Haiwezi kurekodi sauti.
Uthibitishaji Umeshindwa
Majaribio mengi ya uthibitishaji yamefeli. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Uthibitishaji haukupatikana.
Thibitisha kufungua {app_name}.
Rudi
Piga marufuku na ufute wote
Kupiga marufuku kumeshindikana
Uondoshaji umeshindikana
Ondoa marufuku kwa Mtumiaji
Mtumiaji ameondolewa marufuku
Piga marufuku mtumiaji
Mtumiaji amepigwa marufuku
Zuia
Ondolea kizuizi kwa mawasiliano haya kutuma ujumbe.
Hakuna mawasiliano yaliyofungiwa
Amezuiliwa {name}
Una uhakika unataka kumzuia {name}? Watumiaji waliodhamiriwa hawawezi kukutumia maombi ya ujumbe, mialiko ya kikundi au kukupigia simu.
Ondolea kizuizi
Je, una uhakika unataka kuondolea {name} kizuizi?
Je, una uhakika unataka kuondolea {name} na {count} wengine kizuizi?
Je, una uhakika unataka kuondolea {name} na 1 mwingine kizuizi?
Kizuizi kiliondolewa kwa {name}
Wito
{name} amekuita
Huwezi kuanza simu mpya. Maliza simu yako ya sasa kwanza.
Inaunganishwa...
mwisho wa kuongea na simu
Simu Imemalizika
Imeshindikana kujibu simu
Imeshindikana kuanza simu
Simu inayoendelea
Simu inaingia kutoka {name}
Simu inaingia
Ulikosa simu kutoka {name} kwa sababu hujatoa ruhusa ya matumizi ya kipaza sauti.
Simu zilizopotea
wito wa simu haukupokelewa kutoka {name}
Sauti na Simu za Video zinahitaji arifa ziweze kuwezeshwa katika mipangilio ya mfumo wako wa kifaa
Ruhusa za Simu Zinahitajika
Unaweza kuwezesha ruhusa ya \"Simu za Sauti na Video\" katika Mipangilio ya Faragha.
Kuungana Tena…
kupigia...
Simu ya {app_name}
Simu (Beta)
Sauti na Simu za Video
Sauti na Simu za Video (Beta)
IP yako inaonekana kwa mshirika wako wa simu na seva ya Oxen Foundation wakati unatumia simu za beta.
Kuwezesha simu za sauti na video kwa watumiaji wengine.
Ulimpiga simu {name}
Ulikosa simu kutoka {name} kwa sababu hujawezesha Sauti na Simu za Video katika Mipangilio ya Faragha.
Hakuna kamera iliyopatikana
Kamera haipatikani.
Ipe Ruhusa ya Kamera
{app_name} inahitaji ruhusa ya Kamera kuchukua picha na video, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na wezesha \"Kamera\".
{app_name} inahitaji ruhusa ya kamera kuchukua picha na video, au kuchanganua misimbo ya QR.
{app_name} inahitaji ruhusa ya kamera ili kuchanganua misimbo ya QR
Ghairi
Imeshindikana kubadilisha nyila
Futa
Futa Zote
Futa Data Yote
Hii itafuta jumbe na mawasiliano yako milele. Je, ungependa kufuta kifaa hiki tu, au kufuta data yako pia kutoka kwa mtandao?
Data Haijafutwa
- Data hazijafutwa na %1$d Service Node. Kitambulisho cha Service Node: %2$s.
- Data hazijafutwa na %1$d Service Nodes. Vitambulisho vya Service Node: %2$s.
Kosa lisilojulikana limetokea na data zako hazikuwa zimefutwa. Je, unataka kufuta data zako kwenye vifaa hivi pekee badala yake?
Futa Kifaa
Futa kifaa na mtandao
Je, una uhakika unataka kufuta data yako kutoka kwenye mtandao? Ukiendelea, hutakuwa na uwezo wa kurejesha ujumbe au anwani zako.
Una uhakika unataka kufuta kifaa chako?
Futa kifaa pekee
Futa Jumbe Zote
Una uhakika unataka kufuta jumbe zote za mazungumzo yako na {name} kwenye kifaa chako?
Una uhakika unataka kufuta jumbe zote za {community_name} kwenye kifaa chako?
Futa kwa kila mtu
Futa kwangu
Una uhakika unataka kufuta jumbe zote za kikundi {group_name}?
Una uhakika unataka kufuta jumbe zote za {group_name} kwenye kifaa chako?
Una uhakika unataka kufuta jumbe zote za Note to Self kwenye kifaa chako?
Funga
Funga Dirisha
Commit Hash: {hash}
Hii itamzuia mtumiaji aliyechaguliwa kutoka kwa Jamii hii na kufuta jumbe zao zote. Una uhakika unataka kuendelea?
Hii itamzuia mtumiaji aliyechaguliwa kutoka kwa Jamii hii. Una uhakika unataka kuendelea?
Ingiza URL ya Community
URL Batili
Tafadhali kagua URL ya Community na ujaribu tena.
Hitilafu ya Community
Pole, hitilafu imetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Mwaliko wa Community
Jiunge na Jamii
Je, una uhakika unataka kujiunga na {community_name}?
Imeshindikana kujiunga na jamii
Ama ujiunge na mojawapo ya hizi...
Umejiunga na Jamii
Wewe tayari ni mwanachama wa huu jumuiya.
Toka kwenye Jamii
Imeshindikana kuondoka {community_name}
Community isiyojulikana
Community URL
Nakili Community URL
Thibitisha
Mawasiliano
Futa Mwasiliani
Una uhakika unataka kufuta {name} kutoka kwa mawasiliano yako? Jumbe mpya kutoka {name} zitawasili kama maombi ya jumbe.
Hauna waasiliani wowote bado
Chagua Mawasiliano
Maelezo ya Mtumiaji
Kamera
Chagua kitendo cha kuanza mazungumzo
Ujumbe wa vyombo vya habari
Utungaji wa ujumbe
Thumbnail ya picha kutoka kwa ujumbe ulionukuliwa
Unda mazungumzo na mawasiliano mapya
Ongeza kwenye skrini ya nyumbani
Imeongezwa kwenye skiirini ya mwanzo
Jumbe za Sauti
Chezesha Moja kwa Moja Ujumbe wa Sauti
Chezesha Moja kwa Moja ujumbe wa sauti uliotumwa mfululizo
Anwani Zilizozuiwa
Jumuiya
Futa Mazungumzo
Je, una uhakika unataka kufuta mazungumzo yako na {name}? Jumbe mpya kutoka kwa {name} zitaanzisha mazungumzo mapya.
Mazungumzo yamefutwa
Hakuna jumbe kwenye {conversation_name}.
Ingiza Kitufe
Kazi ya kitufe cha kuingiza wakati wa kuandika katika mazungumzo.
SHIFT + ENTER kutuma ujumbe, ENTER kuanza mstari mpya
ENTER hutuma ujumbe, SHIFT + ENTER inaanza mstari mpya
Makundi
Ujumbe unapunguza
Kata Community
Futa ujumbe kutoka Mazungumzo ya Community wenye umri zaidi ya miezi 6, na ambapo kuna zaidi ya jumbe 2,000.
Mazungumzo mapya
Hauna mazungumzo yoyote bado
Tuma na Kibonyezo cha Enter
Gusa kitufe cha Ingiza ili kutuma ujumbe badala ya kuanza mstari mpya.
Vyombo vyote vya habari
Ukaguzi wa Tahajia
Wezesha uangalizi wa tahajia unapopatajumbe.
Anza Mazungumzo
Imenakiliwa
Nakili
Unda
Kata
Kosa la database limetokea.\n\nToa logi za programu zako kushirikisha kwa utatuzi. Ikiwa hili halitafanikiwa, sakinisha tena {app_name} na urejeshe akaunti yako.\n\n Onyo: Hii itasababisha kupotea kwa ujumbe wote, viambatisho, na data ya akaunti iliyo zaidi ya wiki mbili.
Tumeona {app_name} inachukua muda mrefu kuanza.\n\nUnaweza kuendelea kusubiri, kuhamisha kumbukumbu za kifaa chako kushiriki kwa kutatua shida, au jaribu kuanzisha {app_name} upya.
Hifadhidata ya programu yako hailingani na toleo hili la {app_name}. Sakinusha programu na urejeshe akaunti yako ili kuunda hifadhidata mpya na uendelee kutumia {app_name}.\n\nOnyo: Hii itasababisha kupoteza ujumbe na viambatanisho vyote vilivyo zaidi ya wiki mbili.
Kuhamisha Hifadhidata
Logi ya Kurekebisha
Kataa
Futa
Baadhi ya vifaa vyako vina matoleo yasiyo ya kisasa. Usawazishaji unaweza kuwa si wa kuaminika hadi yamesasishwa.
Zuia Mtumiaji Huyu
Zuia Mtumiaji
Mipangilio ya Kikundi
Taarifa za bubu tu kwa kutajwa
Ukiwezeshwa, utaarifiwa tu kwa ujumbe unaokutaja.
Sauti ya Ujumbe
Unataka kufuta meseji hizi kabisa kwenye mazungumzo haya?
Huwezi kuondoka huku unaongeza au unapunguza wanachama wengine.
Urithi
Toleo la awali la meseji zinazopotea.
{name} ameseti kipima muda wa ujumbe unaopotea kwa {time}
Tafadhali subiri kundi linapoundwa...
Imeshindikana Kusasisha Kundi
Huna ruhusa ya kufuta jumbe za wengine
- Futa Ujumbe
- Futa Jumbe
- Ujumbe umefutwa
- Jumbe zimefutwa
Ujumbe huu umefutwa
Ujumbe huu umefutwa kwenye kifaa hiki
Je, una uhakika unataka kufuta ujumbe huu kwa kila mtu?
Futa kwenye kifaa hiki pekee
Futa kwenye vifaa vyangu vyote
Futa kwa kila mtu
- Imeshindikana kufuta ujumbe
- Imeshindikana kufuta jumbe
Una uhakika unataka kufuta jumbe hizi kwa kila mtu?
Kufuta
Geuza Zana za Usanidi
Anza Dikte...
Ujumbe Unaoangamia
Ujumbe utajifuta baada ya {time_large}
Itajifuta ndani ya {time_large}
Ujumbe utajifuta baada ya {time_large} {time_small}
Itajifuta ndani ya {time_large} {time_small}
Aina ya Kufutwa
Mpangilio huu unawahusu wote katika mazungumzo haya.
Mpangilio huu unahusu jumbe unazotuma katika mazungumzo haya.
Mpangilio huu unawahusu wote katika mazungumzo haya.\nNi wasimamizi tu wa kundi wanaoweza kubadilisha mpangilio huu.
Kutoweka Baada ya {disappearing_messages_type} - {time}
Kutoweka Baada ya Kusomwa
Jumbe hujifuta baada ya kusomwa.
Kutoweka Baada ya Kusomwa - {time}
Kutoweka Baada ya Kutumwa
Jumbe hujifuta baada ya kutumwa.
Kutoweka Baada ya Kutumwa - {time}
Weka Mpangilio
Jumbe unazotuma hazitafutika tena. Uko tayari kuzima jumbe zinazofutika?
Weka ujumbe wako upotee {time} baada ya kuwa {disappearing_messages_type}?
{name} anatumia mteja wa zamani. Ujumbe unaotoweka unaweza usifanye kazi kama inavyotarajiwa.
Ni wasimamizi wa kikundi tu wanaoweza kubadilisha mipangilio hii.
Imetumwa
{name} ameseti ujumbe kupotea {time} baada ya kuwa {disappearing_messages_type}.
Wewe umeseti ujumbe kupotea {time} baada ya kuwa {disappearing_messages_type}.
Kipima muda
{name} amezima ujumbe unaopotea. Ujumbe atumao hautapotea tena.
{name} amezima ujumbe unaopotea off.
Wewe umezima ujumbe unaopotea. Ujumbe utakao tumwa hautapotea tena.
Wewe umezima ujumbe unaopotea.
soma
imetumwa
{admin_name} amesasisha mipangilio ya ujumbe unaotoweka.
Wewe umesasisha mipangilio ya ujumbe unaopotea.
Acha
Inaweza kuwa jina lako halisi, jina bandia, au kitu kingine ukipendacho - na unaweza kubadilisha wakati wowote.
Weka jina la kuonyesha
Tafadhali weka jina la kuonyesha
Tafadhali chagua jina fupi kidogo
Hatuwezi kupakia jina lako la kuonyesha. Tafadhali weka jina jipya la kuonyesha ili uendelee.
Chagua jina jipya la kuonyesha
Chagua jina lako la kuonyesha
Weka Jina la Kuonyesha
Hati
Imefanyika
Pakua
Kupakua...
Rasimu
Hariri
Emoji & Symbols
Shughuli
Wanyama & Maumbile
Bendera
Chakula & Kinywaji
Vitu
Zilizotumiwa Hivi karibuni
Smileys & Watu
Alama
Safari & Sehemu
Una uhakika unataka kufuta emoji zote {emoji}?
Punguza mwendo! Umetuma mzio mwingi wa emoji. Jaribu tena hivi karibuni
- Na %1$d mwingine ameonyesha hisia ya %2$s kwenye ujumbe huu.
- Na %1$d wengine wameonyesha hisia ya %2$s kwenye ujumbe huu.
{name} alijibu na {emoji_name}
{name} na {other_name} walijibu na {emoji_name}
{name} na {count} wengine walireact na {emoji_name}
Umejibu na {emoji_name}
Wewe na {count} wengine mlijibu na {emoji_name}
Wewe na {name} mliitikia na {emoji_name}
Amezidi ujumbe wako {emoji}
Wezesha
Tafadhali kagua muunganiko wako wa intaneti na ujaribu tena.
Nakili Hitilafu na Kuacha
Hitilafu ya Database
Kosa lisilojulikana limetokea.
Kushindwa
jalada
Majalada
Fuata mipangilio ya mfumo
Kutoka:
Geuza Skrini Kamili
GIF
Giphy
{app_name} itaunganishwa na Giphy kutoa matokeo ya utafutaji. Hutakuwa na ulinzi kamili wa metadata unapopoa GIFs.
Makundi yana wanachama wengi zaidi ya 100
Unda Kikundi
Tafadhali chagua angalau mwanakikundi mmoja.
Futa Kundi
Una uhakika unataka kufuta {group_name} kikundi hiki? Hii itapondoa wanakikundi na kushusha maudhui yote.
Weka maelezo ya kikundi
Picha ya onyesho la kikundi imesasishwa.
Hariri Kundi
Hitilafu ya Kikundi
Imeshindikana kuunda kikundi tafadhali hakikisha muunganisho wako wa intaneti na jaribu tena.
Imeshindikana kujiunga na {group_name}
Weka Taarifa za Kikundi
Je, una uhakika unataka kufuta hii mwaliko wa kundi?
Kualika kumeharibika
Imeshindikana kualika {name} na wengine {count} kwa {group_name}
Imeshindikana kualika {name} na {other_name} kwa {group_name}
Imeshindikana kualika {name} kwa {group_name}
Kualika kumewekwa
Mwaliko wa kikundi umefanikiwa
Watumiaji lazima wawe na toleo jipya zaidi kupokea mialiko
Wewe umealikwa kujiunga na kundi.
Wewe na {count} wengine mmealikwa kujiunga na kundi.
Wewe na {other_name} mmealikwa kujiunga na kundi.
Toka kwenye kikundi
Je, una uhakika unataka kuondoka {group_name}?
Una uhakika unataka kutoka {group_name}?\n\nHii itawaondoa wanachama wote na kufuta maudhui yote ya kikundi.
Imeshindikana kuondoka {group_name}
{name} ameondoka kwenye kundi.
{name} na {count} wengine wameondoka kwenye kundi.
{name} na {other_name} wameondoka kwenye kundi.
{name} amejiunga na kundi.
{name} amealikwa kujiunga na kundi. Historia ya gumzo ilishirikiwa.
{name} na {count} wengine wamealikwa kujiunga na kundi. Historia ya gumzo ilishirikiwa.
{name} na {other_name} wamealikwa kujiunga na kundi. Historia ya gumzo ilishirikiwa.
{name} na {count} wengine wamealikwa kujiunga na kundi.
{name} na {other_name} wamealikwa kujiunga na kundi.
Wewe na {count} wengine mmealikwa kujiunga na kundi. Historia ya gumzo ilishirikiwa.
Wewe umetoka kwenye kundi.
Wajumbe wa kikundi
Hakuna wanachama wengine katika kikundi hiki.
Jina la kikundi
Weka jina la kikundi
Tafadhali weka jina la kikundi.
Tafadhali weka jina fupi kidogo la kikundi.
Jina la kundi sasa ni {group_name}.
Jina la kikundi limesasishwa.
Hauna jumbe kutoka kwa {group_name}. Tuma ujumbe ili kuanza mazungumzo!
Wewe ndiye msimamizi pekee katika {group_name}.\n\nWanakundi na mipangilio hawawezi kubadilishwa bila msimamizi.
Wewe umepandishwa cheo kuwa Admin.
Wewe na {count} wengine mmepandishwa cheo kuwa Admin.
Ungependa kuondoa {name} kutoka {group_name}?
Ungependa kuondoa {name} na {count} wengine kutoka {group_name}?
Ungependa kuondoa {name} na {other_name} kutoka {group_name}?
- Ondoa mtumiaji na jumbe zao
- Ondoa watumiaji na jumbe zao
- Ondoa mtumiaji
- Ondoa watumiaji
{name} ameondolewa kwenye kundi.
{name} na {count} wengine wameondolewa kutoka kwenye kundi.
{name} na {other_name} wameondolewa kutoka kwenye kundi
Umetolewa kutoka kwa {group_name}.
Wewe na {count} wengine mmeondolewa kutoka kwenye kundi.
Wewe na {other_name} mmeondolewa kutoka kwenye kundi.
Weka Picha ya Kikundi
Kundi lisilojulikana
Kikundi kimeboreshwa
Maswali Yanayoulizwa Sana
Tusaidie Kutafsiri {app_name}
Ripoti hitilafu
Shiriki maelezo machache kutusaidia kutatua tatizo lako. Hamisha maingizo yako, kisha pakia faili kupitia Kituo cha Msaada cha {app_name}.
Hamisha Magogo
Hamisha magogo yako, kisha pakia faili kupitia Dawati la Msaada la {app_name}.
Hifadhi kwenye desktop
Hifadhi faili hili kwenye desktop yako, kisha shirikisha na watengenezaji wa {app_name}.
Usaidizi
Tungependa maoni yako
Ficha
Badilisha muonekano wa upau wa menyu ya mfumo
Ficha Wengine
Picha
Kibodi cha Incognito
Omba hali fiche ikiwa inapatikana. Kulingana na kibodi unayotumia, kibodi yako inaweza kupuuza ombi hili.
Taarifa
Mkato wa batili
Jiunge
Baadae
Jua Mengine
Toka
Kuondoka...
{name} amejiunga na kundi.
{name} na {count} wengine wamejiunga na kundi.
Wewe na {count} wengine mmejiunga na kundi.
Wewe na {other_name} mmejiunga na kundi.
{name} na {other_name} wamejiunga na kundi.
Wewe umejiunga na kundi.
Muhtasari wa Viungo
Onyesha hakikisho za viungo kwa URL zinazotumiwa.
Wezesha Muhtasari wa Viungo
Haiwezi kupakia hakikisho la kiungo
Muhtasari haujapakiwa kwa kiungo kisicho salama
Onyesha mapitio ya URLs unazotuma na kupokea. Hili linaweza kuwa na manufaa, hata hivyo {app_name} inahitaji kuwasiliana na tovuti zilizounganishwa ili kutengeneza mapitio. Unaweza kuzima muhtasari wa viungo wakati wowote kwenye mipangilio ya {app_name}.
Tuma Muhtasari wa Viungo
Hautakuwa na ulinzi kamili wa metadata unapoituma kiungo za mapitio.
Muhtasari wa Viungo Umezimwa
{app_name} lazima iwasiliane na tovuti zilizounganishwa ili kuzalisha mwonekano wa viungo unavyotuma na kupokea.\n\nUnaweza kuwawasha kwenye mipangilio ya {app_name}.
Pakua Akaunti
Inafunguka akaunti yako
Inafunguka...
Funga Programu
omba alama ya kidole, PIN, muundo au nywila ili kufungua {app_name}.
omba Touch ID, Face ID au nywila yako kufungua {app_name}.
Lazima uwezeshe nenosiri katika Mipangilio yako ya iOS ili kutumia Screen Lock.
{app_name} imefungiwa
Jibu la haraka halipatikani wakati {app_name} imefungwa!
Hali ya kufunga
Gusa Kufungua
{app_name} imefunguliwa
Mwisho
Vyombo vya habari
- wanakundi %1$d
- wanakundi %1$d
- %1$d mwanachama hai
- %1$d wanachama hai
Ongeza Account ID au ONS
Alika marafiki
- Tuma Mwaliko
- Tuma Mialiko
Ungependa kushiriki historia ya ujumbe wa kundi na {name}?
Ungependa kushiriki historia ya ujumbe wa kundi na {name} na {count} wengine?
Ungependa kushiriki historia ya ujumbe wa kundi na {name} na {other_name}?
Shiriki historia ya ujumbe
Shiriki jumbe mpya pekee
Alika
Ujumbe
Ujumbe huu ni mtupu.
Ujumbe haujatumwa
Kikomo cha ujumbe kimefikiwa
Imepokea ujumbe uliofichwa kwa kutumia toleo la zamani la {app_name} ambayo haitumiki tena. Tafadhali kumwomba mtumaji kuwasasishe kwa toleo la hivi karibuni na kurejesha ujumbe.
Meseji halisi haipatikani
Taarifa ya Ujumbe
Soma nakili
Alamisha haijasomwa
- Ujumbe Mpya
- Jumbe Mpya
Anza mazungumzo mapya kwa kuingiza Kitambulisho cha Akaunti ya rafiki yako au ONS.
Anza mazungumzo mapya kwa kuingiza Kitambulisho cha Akaunti ya rafiki yako, ONS au kuchanganua msimbo wao wa QR.
- Umepewa ujumbe mpya.
- Umepewa jumbe mpya %1$d.
Kujibu
{name} amekualika ujiunge na {group_name}.
Ukituma ujumbe kwa kundi hili, mwaliko wa kundi utakubaliwa kiotomatiki.
Ombi lako la ujumbe linasubiri kwa sasa.
Utaweza kutuma jumbe za sauti na viambatanisho mara baada ya mpokeaji kuidhinisha ombi hili la ujumbe.
Umeidhinisha ombi la ujumbe kutoka kwa {name}.
Ukituma ujumbe kwa mtumiaji huyu, ombi lao la ujumbe litakubaliwa kiotomatiki na ID yako ya akaunti itaonekana.
Ombi lako la ujumbe limekubaliwa.
Una uhakika unataka kufuta maombi yote ya ujumbe na mialiko ya kikundi?
Maombi ya Ujumbe wa Community
Ruhusu maombi ya ujumbe kutoka kwa Majadiliano ya Jamii.
Je, una uhakika unataka kufuta hii Message request?
Una ombi jipya la ujumbe
Hakuna maombi ya ujumbe yanayosubiri
{name} amezima maombi ya ujumbe kutoka kwenye Mazungumzo ya Community, hivyo huwezi kutuma ujumbe
Chagua Ujumbe
{author}: {message_snippet}
Imeshindikana kutuma
Imeshindikana kulandanisha
Inasawazisha
Ujumbe usiosomwa
Ujumbe-Sauti
Shikilia kurekodi ujumbe wa sauti
Telezesha ili Kughairi
{emoji} Ujumbe-Sauti
{author}: {emoji} Ujumbe-Sauti
Jumbe
Minimize
Inayofuata
Chagua jina la utani kwa {name}. Hii itaonekana kwako katika mazungumzo ya moja kwa moja na ya kikundi.
Weka jina la utani
Ondoa jina la utani
Weka Jina la Utani
Hapana
Hakuna Mapendekezo
Hakuna
Sio sasa
Kumbuka kwake
Hauna jumbe katika Note to Self.
Ficha Kumbuka kwake
Je, una uhakika unataka kuficha Note to Self?
Jumbe Zote
Maudhui ya Arifa
Taarifa iliyoonyeshwa kwenye arifa.
Jina na Maudhui
jina tu
Hakuna Jina wala Maudhui
Mtindo wa Kiharaka
Utaarifiwa kuhusu ujumbe mpya kwa uhakika na mara moja kwa kutumia seva za arifa za Google.
Utaarifiwa kuhusu ujumbe mpya kwa uhakika na mara moja kwa kutumia seva za arifa za Apple.
Nenda kwenye mipangilio ya arifa ya kifaa
Arifa - Zote
Arifa - Waliotajwa Tu
Arifa - Zilizozimwa
{name} kwa {conversation_name}
Huenda umepokea jumbe wakati {device} yako ilikuwa inarestart.
Rangi za LED
Tajo Tu
Arifa za Jumbe
ya hivi karibuni kutoka {name}
zima kwa siri
Zima kwa {time_large}
Usifute
Limenyamazishwa
Mtindo wa Kipole
{app_name} itakagua iwapo kuna jumbe mpya usulini kila mara.
Sauti
Sauti wakati Programu iko wazi
Arifa za Sauti
Mkakati wa Arifa
Mtindo wa Arifa
{message_count} ujumbe mpya katika {conversation_count} mazungumzo
Vibrate
Zima
Sawa
Waka
Unda akaunti
Akaunti Imesasishwa
Nina akaunti
Huwezi kwenda nyuma zaidi. Ili kufuta kuundwa kwa akaunti yako, {app_name} inahitaji kufungwa.
Huwezi kwenda nyuma zaidi. Ili kusitisha kupakia akaunti yako, {app_name} inahitaji kufungwa.
Kuunda akaunti ni haraka, bila malipo, na bila jina {emoji}
Hata huhitaji nambari ya simu kujisajili.
Faragha mfukoni mwako.
{app_name} imeundwa kulinda faragha yako.
Karibu kwenye {app_name} {emoji}
Bonyeza kitufe cha kuongeza ili kuanzisha mazungumzo, kuunda kikundi, au kujiunga na jamii rasmi!
Kuna njia mbili ambazo {app_name} inaweza kukuarifu kuhusu jumbe mpya.
Sera ya Faragha
Sheria za Huduma
Kwa kutumia huduma hii, unakubali Vigezo vya Huduma na Sera ya Faragha
Njia
{app_name} inaficha IP yako kwa kupitisha ujumbe wako kupitia nodi nyingi za huduma katika mtandao wa {app_name} ulioenea. Hii ndio njia yako ya sasa:
Marudio
Nodi ya kuingilia
Service Node
Nchi isiyojulikana
Hatuwezi kutambua ONS hii. Tafadhali hakikisha na ujaribu tena.
Hatuwezi kutafuta ONS hii. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Fungua
ingine
Badilisha Nywila
Badilisha nywila inayohitajika kufungua {app_name}.
Nenosiri lako limebadilishwa. Tafadhali lihifadhi salama.
Thibitisha nenosiri
Unda nenosiri lako
Nenosiri lako la sasa sio sahihi.
omba nywila kufungua {app_name}.
Weka nenosiri
Tafadhali weka nyila yako ya sasa
Tafadhali weka nyila yako mpya
Nywila lazima ziwe na herufi, nambari na alama pekee
Nywila lazima iwe kati ya herufi 6 na 64
Nywila hazilingani
Imeshindikana kuweka nenosiri
Nywila sio sahihi
Ondoa Nywila
Ondoa nywila inayotakiwa kufungua {app_name}.
Nenosiri lako limeondolewa.
Weka Nywila
Nenosiri lako limewekwa. Tafadhali lihifadhi salama.
Bandika
{app_name} inahitaji ruhusa ya muziki na sauti ili kutuma faili, muziki na sauti, lakini imekataliwa kabisa. Gusa Mipangilio → Ruhusa, na washa \"Muziki na sauti\".
{app_name} inahitaji kutumia Apple Music kucheza viambatanisho vya vyombo vya habari.
Sasisho la Moja kwa Moja
Angalia sasisho moja kwa moja unapoanzisha
{app_name} inahitaji ruhusa ya kamera kuchukua picha na video, lakini imekataliwa kabisa. Gusa Mipangilio → Ruhusa, na washa \"Kamera\".
Kipengele cha kufuli skrini kwenye {app_name} kinatumia Face ID.
Weka kwenye Tray ya Mfumo
{app_name} inaendelea kukimbia chinichini ukiwa umefunga dirisha
{app_name} inahitaji ruhusa ya maktaba ya picha ili kuendelea. Unaweza kuwasha ruhusa kwenye mipangilio ya iOS.
Maikrofoni
{app_name} inahitaji kuoanishwa na kipaza sauti ili kupiga simu na kutuma ujumbe wa sauti, lakini imekataliwa kabisa. Gonga mipangilio → Ruhusa, na washa \"Kipaza sauti\".
Unaweza kuwezesha upatikanaji wa kipaza sauti katika mipangilio ya faragha ya {app_name}
{app_name} inahitaji ruhusa ya kipaza sauti kupiga simu na kurekodi ujumbe wa sauti.
Ruhusu ufikiaji wa kipaza sauti.
{app_name} inahitaji ruhusa ya muziki na sauti ili kutuma faili, muziki na sauti.
Ruhusa inahitajika
{app_name} inahitaji ruhusa ya maktaba ya picha ili uweze kutuma picha na video, lakini imekataliwa kabisa. Gusa Mipangilio → Ruhusa, na washa \"Picha na video\".
{app_name} inahitaji ruhusa ya hifadhi ili uweze kutuma na kuhifadhi viambatisho. Gusa Mipangilio → Ruhusa, na washa \"Hifadhi\".
{app_name} inahitaji ruhusa ya hifadhi ili kuhifadhi viambatanisho na vyombo vya habari.
{app_name} inahitaji ruhusa ya hifadhi kuhifadhi picha na video, lakini imekataliwa kabisa. Tafadhali endelea kwenye mipangilio ya programu, chagua \"Ruhusa\", na wezesha \"Ruhusa ya Hifadhi\".
{app_name} inahitaji ruhusa ya kuhifadhi ili kutuma picha na video.
Bandika
Bandika Mazungumzo
Ondoa
Ondoa Mazungumzo
Hakiki
Profaili
Picha ya Onyesho
Imeshindikana kuondoa picha ya kuonyesha.
Weka Picha ya Kuonyesha
Tafadhali chagua faili ndogo.
Imeshindikana kusasisha wasifu.
Panda
Msimbo wa QR
QR code hii haina ID ya Akaunti
QR code hii haina Nywila ya Urejeshaji
Changanua Msimbo wa QR
Tazama QR
Marafiki wanaweza kukutumia ujumbe kwa kuskani QR yako.
Acha {app_name}
Acha
Soma
Stakabadhi za Kusoma
Onyesha risiti za kusoma kwa ujumbe wote unaotuma na kupokea.
Imepokelewa:
Imependekezwa
Hifadhi neno lako la siri la urejesho kuhakikisha hupotezi ufikiaji wa akaunti yako.
Hifadhi neno lako la siri la urejesho
Tumia nywila ya urejeshaji kufungua akaunti yako kwenye vifaa vipya.\n\nAkaunti yako haiwezi kurejeshwa bila nywila yako ya urejeshaji. Hakikisha umeihifadhi mahali salama na siri — usishiriki na yeyote.
Weka nenosiri lako la kurejeshea akaunti
Tafadhali kagua nyila yako ya kurejesha na ujaribu tena.
Baadhi ya maneno katika Nywila yako ya Urejeshaji si sahihi. Tafadhali angalia na jaribu tena.
Nywila ya Urejeshaji uliyoweka haijatosha. Tafadhali angalia na ujaribu tena.
Nywila ya Urejeshaji Iliyokosewa
Ili kupakia akaunti yako, weka nywila yako ya urejeshaji.
Ficha Nywila ya Urejeshaji Milele
Bila nenosiri lako la kupona, huwezi kupakia akaunti yako kwenye vifaa vipya. \n\nTunapendekeza sana ulihifadhi nenosiri lako la kupona mahali salama kabla ya kuendelea.
Je, una uhakika unataka kuficha recovery password yako kabisa kwenye kifaa hiki? Hii haiwezi kubatilishwa.
Ficha Nywila ya Urejeshaji
Futa nyila ya kurejesha kwa kudumu kwenye kifaa hiki.
Weka nenosiri lako la kurejeshea akaunti ili kubeba akaunti yako. Kama hujahifadhi, unaweza kulikuta kwenye mipangilio ya programu yako.
Tazama Nywila
Hii ni nywila yako ya urejeshaji. Ukiituma kwa mtu atapata ufikiaji kamili wa akaunti yako.
Rudia
Ondoa
Imeshindikana kuondoa nyila
Jibu
Tuma tena
Inapakia taarifa za nchi...
Washa tena
Resync
Jarribu tena
Hifadhi
imehifadhiwa
Jumbe zilizohifadhiwa
Inahifadhi...
Changanua
Usalama wa Skrini
Arifa za Picha za Skrini
omba arifa wakati mawasiliano anapotuma picha skrini ya mazungumzo ya moja kwa moja.
{name} amechukua picha ya skrini.
Tafuta
Tafuta Mawasiliano
Tafuta Mazungumzo
Tafadhali weka utafutaji wako.
- %1$d wa %2$d inayolingana
- %1$d wa %2$d zinazolingana
Hakuna matokeo yamepatikana.
Hakuna matokeo yamepatikana kwa {query}
Tafuta Wanachama
Inatafuta...
Chagua
Chagua Vyote
Tuma
Inatuma
Imetumwa:
Muonekano
Futa Data
Mazungumzo
Msaada
Alika Rafiki
Message Requests
Arifa
Ruhusa
Faragha
Nywila ya Urejeshaji
Mipangilio
Weka
Lazima uanzishe tena {app_name} ili kutumia mipangilio yako mipya.
Shiriki
Mwalike rafiki yako azungumze nawe kwenye {app_name} kwa kushirikisha Kitambulisho chako cha Akaunti.
Shiriki na marafiki zako popote unapo kawaida kuzungumza nao — kisha hamishiana mazungumzo hapa.
Kuna tatizo la kufungua hifadhidata. Tafadhali anzisha programu upya na ujaribu tena.
Shiriki kwa {app_name}
Onyesha
Onyesha Zote
Onyesha Chache
Stika
Nenda kwenye Ukurasa wa Usaidizi
Maelezo ya Mfumo: {information}
Endelea
Chaguo Msingi
Kosa
Jaribu tena
Andika viashiria
Angalia na shiriki viashiria vya kuandika.
Rudisha
Isiyojulikana
Sasisho za programu
Sasisho limewekwa, bofya kuwasha upya
Kupakua sasisho: {percent_loader}%
Huwezi Kusasisha
{app_name} imeshindwa kusasisha. Tafadhali nenda {session_download_url} na usakinishe toleo jipya kwa mkono, kisha wasiliana na kituo chetu cha msaada ili kutujulisha kuhusu tatizo hili.
Toleo jipya la {app_name} linapatikana, gusa ili kusasisha
Zunguka kwenye Vidokezo vya Toleo
Sasisho la {app_name}.
Toleo {version}
Inapakia
Nakili URL
Fungua URL
Hii itafunguliwa kwenye kivinjari chako.
Una uhakika unataka kufungua URL hii kwenye kivinjari chako?\n\n{url}
Tumia Hali ya Haraka
Video
Haiwezi kucheza video.
Tazama
Hii inaweza kuchukua dakika chache.
Tafadhali subiri...
Onyo
Dirisha
Ndio
Wewe